Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua...
11 Reactions
154 Replies
4K Views
Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa...
42 Reactions
3K Replies
129K Views
Tanzania ni kati ya nchi za Duniani ambayo ina unafuu mkubwa wa maisha na fursa lukuki ukilinganisha na mataifa mengine, ni kutuliza tu akili yako kusaka ramani. Wapo vijana ambao...
1 Reactions
15 Replies
291 Views
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake...
30 Reactions
337 Replies
27K Views
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu. Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo...
7 Reactions
28 Replies
205 Views
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia. Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii...
5 Reactions
18 Replies
422 Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
39 Reactions
211 Replies
3K Views
Muhimu: Elewa neno asilimia kubwa haimanishi ni wote, hata wazaramo wakimya wapo lakini asilimia kubwa ni waongeaji Introverts ni watu ambao wanapenda kuwa peke yao muda mwingi, kijamii wapo...
3 Reactions
31 Replies
247 Views
Habari za muda huu wana jamvi Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili...
9 Reactions
18 Replies
457 Views
Ni kampuni ya Payment & Digital Solutions. Tuna leseni ya BOT na payment system ambao inafanya kazi mwaka wa 3 sasa. We want to expand massively na tayari kuna makampuni makubwa ambayo tayari...
1 Reactions
5 Replies
88 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,903
Posts
49,558,893
Members
667,702
Latest member
zacharia erick
Back
Top Bottom