Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika.
Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya...
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.
Polisi...
Tupigie tuje kukutengenezea Laptop/Desktop iwe Mac au Windows PC
Ofisini/Nyumbani.
Pia Tunauza Spare za Laptop/Macbook kama
Batteries
Chargers
Keyboard
Housing
Hdd/SSD/Ram Memories
Softwares...
Na. David Kafulila
NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra.
Tuwe serious kutoa msaada.
Ufafanuzi wa jumla wa tatizo...
Athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko na kusababisha mafuriko makubwa kutatiza masomo ya vijana, makazi mengi ya watu kujaa maji, miundombinu hususani ya barabara kuharibika, nishati ya...
Habarini wapendwa, naombeni msaada wenu, kipindi cha nyuma mimi niliwahi kusumbuliwa na tatizo la umeng'enyaji chakula, nilikuwa najisaidia choo kigumu sana, nikaambiwa na doctor kuwa nina tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.