Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa Vijana ambao wametumikia au wamefanya mafunzo ya kujitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka...
Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi!
Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika
Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio...
Assalamualaikum Wana familia ya jf.
Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani.
Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia.
Sifa zake
Awe mwanamke...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii?
ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi...
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na...
Miezi kadhaa iliyopita kulitokea wimbi la Mataifa Tajiri kujitoa kufadhili Taasisi ya Kimataifa inayohusika na kuhudumia Wapalestina ya UNRWA. Taasisi hii ya UN iliundwa zaidi ya miaka 70...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.