Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players .
Imepigwa ndani nje
Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10
Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi kutoka kikosi maalumu cha Makomando waliofanya maonyesho siku...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Wakuu
Mimi nikiwa kama mwananchi kindakindaki kabisa
Nakiri binafsi na naomba tuwaombee watani zetu hawa mbumbumbu wajitahidi hata waishie nafasi ya pili ili sisi na wao tucheze huko CAF kuliko...
TP Mazembe wakiwa Ugenini wamejikuta wakipokea Kipigo Cha Magoli matatu Kwa bila dhidi ya Al ahly na kutolewa hatua ya nusu Fainali Ya michuano ya klabu Bingwa barani Afrika.
Katika mchezo Wa...
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.