Happy birthday Muungano, how old are you now?
60 years!!!
Leo tare 26/04/2024 Muungano wetu Kati ya Tanganyika na Zanzibar= TANZANIA Umetimiza miaka 60....huu ni umri wa mzee mtu mzima...
Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wengi sana sasa ndugu yangu rajabu si...
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
Athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko na kusababisha mafuriko makubwa kutatiza masomo ya vijana, makazi mengi ya watu kujaa maji, miundombinu hususani ya barabara kuharibika, nishati ya...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo.
Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.