Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari...
12 Reactions
105 Replies
1K Views
Wanajamvi Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya, Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
8 Reactions
136 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
1 Reactions
37 Replies
644 Views
Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa. Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!! Huu ni...
3 Reactions
34 Replies
512 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
10 Reactions
53 Replies
765 Views
Habari za saa hizi. Mimi ni kijana naishi dar. Umri 32. Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke. Awe anaishi dar Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa. Aelewe thamani ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Licha ya vilio na adha kubwa ya ukosefu wa Maji ya matumizi Kwa binadamu na maendeleo, Serikali imepunguza Fedha ilizotenga kwenye Bajeti ya Wizara ya Maji Kwa zaidi ya 17%. Kwa sekta nyeti kama...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
NAWÀSA TUNNDUGU ZANGU KWENYE LIGI YA NBC HUYU BWANA N PACHA NA LALA SALAMA SASA KAMA UKIONA YANGA AIJAFUNGA NA ANAINGIZWA HUYU UJUE MTAZAA NAE MAPACHA TU HUYU KAIPKOA SANA YANGA HASA PALE...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi. Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi...
4 Reactions
20 Replies
762 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,570
Posts
49,576,514
Back
Top Bottom