Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Wafanyakazi wa sekta ya umma Tanzania, mnapoambiwa kuwa CCM ni sumu hatari inayoua taratibu, muwe mnaelewaga na kisha mchukue hatua.. Sasa ona hapa... Mmeenda Arusha na matumaini kibao ya...
2 Reactions
8 Replies
9 Views
Habari wana taaluma.Mimi nilihitimu kidato cha 4 mwaka 2010 masomo ya biashara. Masomo yote nilipata D isipokuwa Book-keeping 'A' , Mathematics 'B' na History 'C'. Niliendelea advance masomo ya...
1 Reactions
17 Replies
251 Views
Mimi nina miaka 40 naa... mim miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaan nikipiiga gori langu moja basi mpka keshoo Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine...
3 Reactions
53 Replies
467 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
50K Replies
3M Views
Mods, kwanini mmefuta huo Uzi? Hakuna swali la kijinga!! Tafadhalini sana, hata kama mnatumia hii kitu, acheni ijadiliwe🙏
1 Reactions
11 Replies
36 Views
Imekuwa kawaida sana kusikia vijana wanauliwa na polisi kwenye migodi ya mkoa wa Mara wilaya ya Tarime. Kwanini hatusikii haya migodi ya Geita, Chunya, Kahama, n.k.
1 Reactions
9 Replies
79 Views
Kwanza tuanze kwa kuzungumza kuhusu sheria za mambo ya bahari. Sheria za kimataifa zinasema kuwa kutoka Pwani ya nchi hadi nautical miles 12(22Km)kuingia baharini(1NM=1.85km). Ni eneo la bahari la...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
NALIA NGWENA sidharau marefali wetu lakini napatwa na ukakasi sana MTU anapotamka kuwa "ligi yetu ni ya Tano kwa ubora Africa'' Angalia Kenya na Uganda ligi zao zinatoa marefa kwenda kuchezesha...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
10 Reactions
173 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,753
Posts
49,583,643
Members
668,155
Latest member
mbalizi mbilinyi
Back
Top Bottom