Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya...
23 Reactions
160 Replies
4K Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
4 Reactions
14 Replies
87 Views
*MAJUTO NI MJUKUU* Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata sikumoja...
7 Reactions
105 Replies
12K Views
Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
8 Reactions
50 Replies
787 Views
Wadau hamjamboni nyote Taarifa kamili hapo chini: Hatimaye Samaha Mufti wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir Ali Mbwana jana Jumanne amekabidhi tiketi kwa wanafunzi wanaokwenda kusoma elimu ya Dini...
1 Reactions
4 Replies
56 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
<Marquee> kichwa Cha habari kinajieleza</Marquee>
0 Reactions
6 Replies
7 Views
DK Mwigulu ameyasema hayo kwenye sherehe za Umoja wa Wanawake UWT Singida. Amesema Rais Samia amefanya mambo makubwa Kwa mda mfupi ikiwepo kuongeza Bajeti kwenye sekta zote sanjali na Kusimamia...
1 Reactions
65 Replies
2K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views

FORUM STATS

Threads
1,852,230
Posts
49,597,811
Back
Top Bottom