Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani...
Wakuu.....
Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa.
Ipo hivi.....
Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi.
Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya...
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu.
Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin...
•Tayari wamechukua udhibiti wa mzizima port
•Wanaendelea kuleta vifaa vyao vya kisasa zaidi (of course ni vya kisasa)
•Wamechukua GATI number 1 mpaka 7 kwa wasiojua kuhusu Hizo gati wanadhani...
Elimu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inaandaa wanafunzi utegemea ajira, Chuoni huwa kuna zile hoja za kupimana vyup kwa kubiashana wanafunzi wa chuo gani wameiva, Kuna haja gani ya kubishana haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.