Leo sina mambo mengi kabisa yaan,,ni hivi wakati muhimu kabisa wa kujua siri za mzungumzaji upande wa pili wa simu ni pale mnapomaliza mazungumzo na kukata simu.
Yaan mda huo kama utaagana na mtu...
Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu...
Wakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri.
Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na...
Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X
Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya...
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Tumekuwa tukiongozwa na viongozi wenye ahadi nzuri sana na tamu ukiangalia vizuri kabisa unaona maendeleo si haya na kiongozi si ndiye huyu. Lakini katika wakati wa utekelezaji wa ahadi zao sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.