Habari wakuu...
Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original...
Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k...
Kuna aliyewahi tumia?
Ubora upoje?
Wakuu..niko morogoro wilaya flani kikazi.
Hapa kuna mchepuko wangu flani,so kwa jinsi mvua zinavyopiga huu mkoa nikasema ngoja nikajipumzishe kwa huu mchepuko..ebana nilikua na mavuzi mengi tu coz...
Kuna ukweli tunatotakiwa kuufafanua na kama ni kero irekebishwe kama kweli tunafikiri muungano huu ni wa muhimu.
1. Wazanzibar wengi sana wanamiliki ardhi na majengo bara, kama raia. ila Wabara...
Mzuka wanajamvi!
Yuko london Ungereza endeleeni sasa kuroga na kumuombea mabaya.
Anachowaombea tu ni wawili muishi maisha marefu na msiwe vipofu.
Kufa hamfi lakini cha moto mnaona.
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote
Sijui kuna agenda...
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
Nakumbuka kipindi Cha nyuma kulikuwa na hii bidhaa ya ivory tomato.
Siku hizi haionekani kabisa?? je wakuu wali iondoa sokoni, au Kuna sehemu Hawa isambazi?!.
Hii ilikuwa nzuri zaidi ya Ile red...
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha...
Tumekua tukitamani na sisi nchi yetu iwe kama nchi za ulaya kimuonekano, kwani zina nuonekano mvuri, mandhari nzuri na mazingira safi, hata sisi tunaweza kuifanya Tanzania yetu ionekane kama nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.