Oyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena.
Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume...
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote
Sijui kuna agenda...
Nimesafiri umbali mrefu sana kwenda angaza kupima HIV na kwa bahati nzuri majibu yamekuja negative.
Hii ni hatua muhimu kwenye ya kuwa makini na kujilinda.
Asikwambie mtu kusubiri hayo majibu...
Hii Tanzania imegawanyika Katika Kanda mbalimbali, Kanda ya ziwa, Pwani, kusini, kaskazini.
ILA Chá ajabu inaonekana watu wa Kanda ya kaskazini mashariki ni weupe sana na wanang'aa sana, pía wa...
Kuna hawa jamaa wa kitengo cha mahafa huwa wanajiweka tayari ili kutoa msaada au kufanya lolote ili jamii isitetereke.
Siku nne zilizopo jamaa wamekuwa wakijipanga kwa taflani ya kimbunga.
Jambo...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili.
.
Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu...
Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit
Asante
Wananchi wa kijiji cha Ndolezi kilipo kimondo maarufu cha Mbozi wamekuwa wakiishi hapo kabla ya wanasayansi kuthibitisha kuwa jiwe lile ni kimondo, hivyo kulipa jiwe hilo hadhi ya pekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.