Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Huyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
4 Reactions
27 Replies
393 Views
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar. Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa...
0 Reactions
12 Replies
108 Views
  • Poll
Taarifa kamili kutoka ndani ya makao makuu ya chama zinasema kuwa chama hiko kwasasa hakiwezi kuwa pamoja either mmoja kati ya Mbowe au Lissu aondoke ndani ya chama hicho. Mzozo mkali umeibuka...
6 Reactions
86 Replies
4K Views
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi. Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM. -Wote ni wazalendo -...
3 Reactions
16 Replies
183 Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
27 Reactions
136 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao.. mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Zimebaki siku chache sana, siku ya wapendanao ifike. Mjuavyo tena, maisha ya mwanadamu kuna wakati yanahitaji faraja, ingawa kuna changamoto nyingi huwa tunazipitia katika harakati zetu za kila...
10 Reactions
204 Replies
3K Views
Sakata la Maofisa wa Serikali waliojitengenezea mfumo bandia wa Makusanyo ya Fedha za Umma limezidi kushika Kasi na kuchukua sura Mpya. Awali TAKUKURU iliwatia mbaroni watuhimiwa 40 lakini baada...
1 Reactions
14 Replies
324 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,853
Posts
49,557,352
Members
667,679
Latest member
Mkatiko_Jembe
Back
Top Bottom