Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hallo wana JF. Nimekuja na hoja binafsi, Kwanini sasa hivi kumeibuka wimbi la wanaojiita wachungaji, pale wanapofanya maombi either kwa njia ya hadhara au kwenye TV au Radio na mitandao ya Jamii...
0 Reactions
6 Replies
59 Views
Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
6 Reactions
85 Replies
1K Views
Hahahaaaa taja faida kwa ñini unaishi single!
1 Reactions
69 Replies
677 Views
Mifano ni matajiri wengi tunaowajua kina Mo, Bakhresa, GSM, ni biashara za familia na ndugu wa karibu, ni team work. Pia kwa upande wetu watanzania wa asili ukienda kwenye masoko makubwa...
3 Reactions
13 Replies
325 Views
Wana JF, wasalaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu...
11 Reactions
70 Replies
2K Views
Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa...
4 Reactions
22 Replies
606 Views
Kama "thread" inavyojieleza weka Picha kali unayoikubali toka kwa simu yako.yangu hii[emoji116]Man at work
10 Reactions
196 Replies
19K Views
Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi...
2 Reactions
9 Replies
151 Views
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao. Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
18 Reactions
193 Replies
3K Views
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
20 Reactions
154 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,574
Posts
49,550,398
Members
667,544
Latest member
Winnie Urio
Back
Top Bottom