Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe! Kwa siku chache nilizokaa Njombe, nilibaini ukweli kuwa ukubwa wa mwili hauamui "ukubwa" wa mtu. Anaweza akawa na...
40 Reactions
157 Replies
6K Views
Hahahaaaa taja faida kwa ñini unaishi single!
1 Reactions
59 Replies
496 Views
  • Suggestion
Tanzania, tuitakayo kwa miaka ishirini na mitano (25) ijayo; SIASA; 1.Mfumo wa upigaji kura wa elektroniki, Kuwe na mfumo wa kupiga kura na kuzihesabu kwa njia ya kielektroniki badala ya...
0 Reactions
1 Replies
31 Views
"Nilizungumzia visiwa vya Zanzibar vinahitaji kulindwa, na sikuzungumzia nika-'identify' kwamba ni watu kutoka Tanzania Bara au Tanganyika waje na pasipoti [...] Mimi nilisema tunahitaji pasipoti...
2 Reactions
22 Replies
638 Views
Heshima kwenu! Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga. Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi...
3 Reactions
41 Replies
542 Views
TUNDU LISSU TOFAUTISHA SAMIA NA RAIS SAMIA. MUUNGANO NI ROHO YETU Na, Suphian Juma Nkuwi. Salaams Watanzania wenzangu, Nimeona Kaka yangu kutoka mkoa niliyozaliwa wa Singida, Makamu Mwenyekiti...
1 Reactions
29 Replies
340 Views
Ndugu. Naomba kumpata msambazaji wa wine toka Dodoma
0 Reactions
15 Replies
117 Views
  • Suggestion
Naipongeza serikali kwa ujenzi wa shule za kata kwa nchi yetu ya Tanzania kila wilaya kwasasa wanafunzi wetu wanapofaulu wanauhakika wa kuendelea na kidato cha kwanza pia na ukaribu wa sehemu...
0 Reactions
2 Replies
28 Views
Aje Wanajukwaa Hivi inawezekana kweli hili jambo kwamba mume/mke akawa mlozi/mwanga/mchawi na mwenza asijue? Kama jibu ni ndio tunajua mara nyingi shughuli za wanga ni usiku Itawezekana vip...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,560
Posts
49,549,973
Members
667,538
Latest member
manageble
Back
Top Bottom