Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
12 Reactions
149 Replies
4K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail...
3 Reactions
33 Replies
876 Views
Kama nilivyo waambia wakuu nimesoma degree ya Accounting and Finance jana nimeandaa barua 9 kwa ajili ya kusambaza kwenye taasisi mbali mbali hapa Arusha ili kuomba internship ila zilizo pokelewa...
7 Reactions
60 Replies
1K Views
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwa nini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
0 Reactions
5 Replies
20 Views
Nawasalimu wote wana jukwaa, Moja kwa moja kwenye hoja. Nakusudia kuanzisha ufugaji wa Ng’ombe, Mbuzi na Kuku. Naomba kwa wenye uzoefu mnipe maoni yenu, hususani juu ya: 1. Mikoa sahihi kwa...
7 Reactions
95 Replies
5K Views
Zamani ilikua wanaume ndo tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikua wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati...
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Nilichimba shimo la choo kipindi cha kiangazi lilikua fresh tu na likafunikwa juu, tatizo imeanza kipindi cha masika maji yanatokea chini na shimo linajaa maji. Wataalam tusaidiane hapo nitumie...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, Ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
16 Reactions
138 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,483
Posts
49,547,820
Members
667,506
Latest member
tonnie de viola
Back
Top Bottom