Habari wakuu
Najua JF ni kisiwa cha habari na maarifa pia kumekuwa na nyuzi nyingi ambazo sisi kama member tumekuwa tunazisoma.
Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na...
Habari yenu wana jf nipo kwenye mahusiano mwanaume, ambaye hata sielewi anaumwa au ana tatizo gani, nimejitaidi kwa hali lakini bado hapati afadhali.
Yaani mkikutana faragha mashine yake...
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup.
Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
Wanaukumbi.
Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
Sijui ni ushamba wangu au ni kutokutembea lakini hizi huduma za kusugua mwili (massage) mbona naona ni wanaume tuu? Kwani wanawake haziwahusu au kuna sehemu yao ni mimi sijafika.
Au kuna siri...
Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara...
Mwezi huu wa tatu nilienda kumnunulia mdogo wangu simu kwenye duka la tigo nilishawishika kununua simu Ile sababu ya ofa ya kupewa gb kadhaa kwa mwaka lengo langu zile GB zimsaidie kuongeza...
Nawatakia heri wafanyakazi wote.
Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi...
Wadau mtaniwia radhi kwa hili,
Nimeshuhudia mara nyingi kwa wanasiasa kuwa leo ana msimamo huu kesho ule.
Na leo limejirudia kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha mheshimiwa Paul makonda.
Wakati ule...
Watu wengi wanaamini ugali ndio chakula pekee cha kuupa mwili nguvu na afya njema lakini si kweli
Ugali ni mlo hatari ni kama sumu ndio maana hata wanyama wachoyo kama mbwa, nguruwe, paka, nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.