Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia...
0 Reactions
2 Replies
13 Views
Wadau Habari zenu,Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato(mafuta)yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka...
0 Reactions
1 Replies
13 Views
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA KIMARA TEMBONI KIWANJA HIKI KINASIFA ZIFUATAZO # KIPO SEHEMU NZURI # KINAFAA KWA MAKAZI, PIA KUJENGWA NYUMBA ZA KIBIASHARA (APARTMENT'S) #MAJI SAFI DAWASA NA...
1 Reactions
2 Replies
75 Views
@Arusha,Mama mchagga (Mmaranguu), baba mngoni Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, baada ya kuchemka mwishowe nilisaidiwa kumpata wa kunioa 'Asante' Mama aliwakataa wachumba zangu wawili, watatu...
2 Reactions
13 Replies
151 Views
Ama kweli ujinga hauondolewi na taji/cheo (the crown does not change the mind). Nape ni mfano wa mtu mwenye cheo lkn mjinga. Kauli kwamba "Lisu alikimbia nchi halafu Rais Samia kamrudisha",...."...
8 Reactions
9 Replies
292 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
6 Reactions
44 Replies
571 Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
6 Reactions
304 Replies
10K Views
Samia is behind Lissu's movement on this union. In fact, the Zanzibaris are pushing this agenda secretly pretending that it is Lissu who is notorious while it is Sami's movement. Samia is...
6 Reactions
33 Replies
624 Views
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
10 Reactions
81 Replies
4K Views
Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa. Lakini haina maana ndo ukalie njia...
9 Reactions
133 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,064
Posts
49,536,636
Members
667,320
Latest member
Mayenga54
Back
Top Bottom