Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza Duka la nguo za Kike(Magauni na Jeans) linauzwa. Nimepata scholarship inabidi nikasome sasa sina wa kumuachia naitaji kuliuza.
Kuna magauni ya...
Wabena ni kabila la watu wenye akili sana wanaopatikana tanzania mkoani njombe.
Idadi yao ni takribani milion 1 na kitu…..(makadirio) pia kabila hili linapatikana mikoa jirani kama morogoro...
Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje...
Chidy Benzi akihojiwa anasema nusu ya wasanii wa muziki hapa nchi wanalika "akimaanisha ni mashoga"
https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Huwezi mfanya Mwanamke...
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
Huyu dogo amekuwa analeta threads nyingi sana humu jf kwa ID tofauti tofauti huku akijifanya siyo yeye hivyo kusababishia watu kuchangia nyuzi hizo kwa mood tofauti tofauti. Mfano Leo kaleta uzi...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA
PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 MEI 2024
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za...
Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.