Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kutokana na mvua zinanyesha barabara ya kigoma-kibondo-busungu imemong'onyoka na inekuwa usumbufu na hatarishi kwa watumiaji wa barabara hiyo. Mamlaka irekebishe barabara hii ili huduma iendelee...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
14 Reactions
107 Replies
2K Views
kuna hii fursa imejitomeza huko TAESA, nimeona nisiwe mchoyo ni waletee humu ili MADEREVA wenye vigezo mkajaribu bahati yenu hii fursa bwana ni mkataba wa mwaka mmoja. kama upo Dar es salaam...
1 Reactions
9 Replies
242 Views
Serikali itaondoa tozo ya asilimia sita ya kulinda thamani ya fedha katika urejeshaji wa mkopo kuanzia 1 Julai 2021, iliyokuwa inatozwa kwa wanufaika wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, ikiwa...
3 Reactions
47 Replies
10K Views
Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio Kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana? Wajuzi karibuni. Asante sana.
4 Reactions
23 Replies
365 Views
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar...
70 Reactions
6K Replies
409K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Hali ya mvua jijini Dar si shwari kabisa, hii ni siku ya 5 sasa mvua zinanyesha nonstop. Kwa miundombinu ya hili jiji ilivyo mibovu ingekuwa busara shule zifungwe kwa muda, hasa shule za msingi...
5 Reactions
16 Replies
668 Views
Hao wafia Dini wanaoandama kuitetea HAMAS halafu Polisi wa Marekani wanawagusagusa tu,hebu Serikali ya Marekani waombe msaada kwa Tanzania kuzima hayo maandamano. Vijana wa FFU wapewe hiyo...
1 Reactions
8 Replies
150 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,948
Posts
49,501,512
Members
666,900
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom