Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Wakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
Mzuka, mashamsham na tamaa vyote viliyeyuka, baada ya kuona makalio yanaondolewa na kutundikwa juu kama inavyoonekana hapa chini.
Nimejiuliza maswali mengi sana. Hivi ananionaje huyu dada mpk...
Huku Tegeta kuna wakali wa kusakata kabumbu kama Msekelo fc, Kindovu fc, WauzaNyama FC, Nafaka sc, Sokoni B SC n.k ambao wote ni mafundi wa kutandaza soka safi.
Hivyo tumeona tuwaalike wenzetu...
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.
Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
*MADAI YA FIDIA YA DOLA MILIONI MOJA YA ERICK KABENDE
Mimi kwa uzoefu wangu wa kesi za jinai na madai, naona kuna vitu vya kisheria vitajitokeza au kuibuliwa kabla ya kesi ya msingi maana...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Wamama wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa vyuma kwelikweli.
Walikuwa na uwezo wa kukichapa na kukunyoosha kwa macho tu. Nakumbuka siku nilipotoroka nyumbani kwenda na magenge ya watoto mitaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.