WanaJamii,
Kama mlivyosoma hapo juu,tunawaletea zygoInc website.
Zygo inc ni nini?
ZygoInc ni website ambayo itakuwezesha kutafuta pahala au sehemu yoyote ndani ya mkoa wa Dar na mikoa jirani.Kwa mfano,ofisi za serikali,tasisi,restaurant,malls,maduka,atm,car parkings,hotels na mambo mengi...