Recent content by zurima ramadhan

  1. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 JUWAUZA kuwainua wanawake kuwania nafasi za uongozi kupitia uhamasishaji wa jamii

    Mratibu wa Mradi wa Kumuimarisha Mwanamke katika Masuala ya Ungozi SWIL kutoka Jumuiya ya Wanawake Wenye ulemavu Zanzibar JUWAUZA Zakia Shabani Daudi amesema wataendelea kuwahamasisha wanawake katika kuwania nafasi mbali mbali za uongozi ili kupata viongozi wenye sifa na weledi. Ameyasema hayo...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kutetea haki za wanawake

    Zanzibar Na, Zurima Ramadhan Waandishi wa habari wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kutetea haki za wanawake wanaowania nafasi za kisiasa kwa kuhakikisha kuwa vitendo vya ukatili dhidi yao vinatolewa taarifa na kushughulikiwa ipasavyo. Ameyasema hayo, mkurugenzi wa chama cha wandishi wa...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kusimamia Maadili ya Watoto Zanzibar itasaidia kupunguza mporomoko wa maadili nchini

  4. Z

    JamiiForums Tanzania Taqwa Foundation Yatoa Msaada wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, Ikiwasaidia Kujenga Mustakabali Bora

    Zanzibar Kuwafanyia wema mayatima ni katika matendo yanayomfurahisha mwenyezi mungu. Msemaji wa Simba Sport Club Ahmed Ally ameyasema hayo wakati akitoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima wa kituo cha Assalam Ophan Centre huko fuoni mkoa wa mjini magharib. Amesema lengo la kufika katika...
  5. Z

  6. Z

    JamiiForums Tanzania Taqwa Foundation Yatoa Msaada wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, Ikiwasaidia Kujenga Mustakabali Bora

    Na Zurima Ramadhan, Zanzibar Jamii imetakiwa kuungana kwa pamoja kuwasaidia watoto yatima ili kujenga upendo na mshikamano baina yao. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Taqwa Foundation Zahra Issa Kassim wakati wa ugawaji wa vifaa vya skuli kwa watoto yatima huko Mpendae Wilaya ya...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa ulinzi katika michezo chachu ya mbadiliko

    Na Zurima Ramadhan, Zanzibar. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma amesema kuandaliwa kwa mpango mkakati pamoja na muongozo wa ulinzi katika michezo utasaidia kuimarisha ulinzi na usalama katika Sekta ya michezo na kuboresaha mazingira wezeshi ya michezo kwa...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya ukatili na udhalilishaji yanahitaji nguvu za ziada kulekea 2030

    Na Zurima Ramadhan, Zanzibar Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji nchini wametakiwa kuzitumia siku 16 za kupinga ukatili kwa kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya vitendo hivyo. Akifungua maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili katika ukumbi wa bima Mpirani wilaya ya mjini, Mjumbe wa...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Malezi mema ndio msingi wa maadili mema

    Jamii Imetakiwa Kuwa na Mashirikiano Katika Kulea Watoto Ili Kuwakuza Katika Maadili Mema. Ushauri huo umetolewa na katibu wa kamati za maadili kutoka Jumuiya ya Maimamu Zanzibar JUMAZA Abdallah Mnubi Abass wakati akizungumza na wanawake wa kiislamu huko tomondo mshelishelini Wilaya ya magharibi...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kusimamia Maadili ya Watoto Zanzibar itasaidia kupunguza mporomoko wa maadili nchini

    Na Zurima Ramadhan Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kusimamia Maadili ya Watoto Zanzibar itasaidia kupunguza mporomoko wa maadili nchini. Hayo yameelezwa na katibu wa jumuiya hiyo Ali Muhammed Suleiman wakati akizungumza na wanawake wa kiislamu huko masjid bilali tomondo mshelishelini. Amesema...
Back
Top Bottom