Recent content by Zurie

  1. Zurie

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

    Mi naona tusijizungushe kama hatuoni tatizo liko wapi. Huyu mwanaume analelewa na huyu dada either emotionally au financially au both. Dada anajiuliza, kama wewe anakulea, mwanao itakuwaje?
  2. Zurie

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

    Huyu mwanamke kama hataki mimba hatoipata! Ni yeye mwanaume aamue anaweza kuishi na mwanamke anayemaliza mambo yake kwanza au la. Kama hawezi apige chini, kwani sh ngapi?
  3. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Kunywa chai na vitumbua hivyo though tetesi za humu ndani zinadai una "aleji" navyo. Heheeeeee
  4. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Ni kweli
  5. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Kwamba hakuna mume mzuri duniani?
  6. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Ofa bado ipo?
  7. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Hii ni kweli kabisa. Ingawa vitu viwili alivyotaja vilikuwa sio vya maumbile. Ni more of kuhusu personality yake
  8. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    I’m telling you the way nimejizuia kuuliza swali hili nyumbani kwangu😆…natamani kuuliza ila kuna sauti inaniambia “mwana kulifind, mwana kuliget”
  9. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Huruma ndo kitu huna au sio?😭
  10. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Ah potelea pote. Love dey sweet oo
  11. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Too late!
  12. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Napendwa ndani kwa ndani sio?
  13. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Kwani anaitaka?
  14. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    🤭🤭nitachagua mapenzi na sio pesa
  15. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    I hope so kwakweli
Back
Top Bottom