Ni kwel hosptal lakin nkiwaambia na nkifany vipimo hkuna kitu kinacho onekana.,.. Wananpa dawa za maumivu lkn hazinisaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Saw mkuu hospatal nilienda lakini nlifanya vpimo vya damu. Na nilipiga xray lakini hawakuona tatizo. Sasa sijajua huwa inasababishwa na nini hii kitu ni muda mrefu sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina maumivu makali ya misuli shingo kukakamaa na mabegani mpaka saivi maumivi yamesambaa mpaka mikononi na mgongoni maumivi makali nina zaid ya miezi mi3 msaada jamani nishafanya vipimo vingi na exray nshapiga sijui ni tatizo gani hili mpaka saivi nimekata tamaa kwakweli
Sent using Jamii...
jaman habar.. mim nina matatiza.. huwa napat san maumiv ya misuli ya shingo mabega na mgongo... nina zaid ya miez mi3.. na nimeshatumia san dawa tofaut tofaut bila ya manufaa yotote.. maumivu husambaa had kweny misuli ya mikono..
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.