Habari wana JF! Kutokana na ugumu wa kupata ajira kwa muda mrefu, nimepata mtaji kidogo na kufanya maamuzi ya kujiajiri kwa kupika vyakula na kuuza kwenye maofisi maeneo yote ya Arusha mjini. Kwasasa sina ofisi/ eneo kwani kodi nayo ni changamoto, kwani ndo kwanza naanza, hivyo napikia nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.