Kipindi tunaona huyu Rafiki yake hakuwepo mume wangu alikua na marafiki zake wengine na nilikuwa napatana nao wote baada ya kuja dar ndio kampata uyo Rafiki marafiki zake wa zamani mmoja wapo alikuja dar kututembelea mi nilikuwa nimesafiri nilivo rudi akaniambia shemu uyu Rafiki wa mumeo wa sasa...
Ahsante sana ntakufanyia kazi
Sijajua kitu gani kinampa jeuri maana uyo Rafiki yake na mkewe Kuna kipindi mpaka wananitukana mume wangu hafanyi chochote na Mimi huwa siwajibu
Habari zenu wapendwa,
Mwenzenu nina changamoto nipo kwenye ndoa miaka 13. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana tulikuwa marafiki wazuri ila baada ya kuhamia Dar mwaka 2015 kuanza maisha mume wangu akapata Rafiki uyo Rafiki yake ni wale watu wenye uswahili mwingi maisha yakaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.