Tangazo: Mkutano na waandishi wa habari, Jumatatu, Juni Mosi, 2015.
Ndugu,
Salaam.
Dkt. Hamisi Kigwangalla (MB) na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI, amepanga siku ya Jumatatu, wiki ijayo, Tarehe 1, Juni, 2015 kuzungumza na wanaCCM na watanzania wote kupitia kwa waandishi wa habari ...