Mkuu asante sana sana! Umenitosheleza Kwa upana! nimeelewa vzri sana! Haya maelezo niliyasubiri sana Ili nifanye maamuzi yangu na Sasa nashkuru nimeyapata.Mwenyezi Mungu Akubariki sana sana sana!🙏
Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu.
Nimepata:
1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university
2: Bachelor of Economics and finance I F M.
Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi itakuwa bora zaidi. Nahitaji ku confirm chuo kwa Sasa hivyo muongozo wenu...
Ndoto yangu mimi ni kuwa mtu ambae nitajihusisha na maswala yote na mipango ya kifedha katika matumizi na katika kushauri.Na kufanya kazi katika financial institutions ndani na nje ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.