Recent content by znz

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya kutisha Zanzibar Revenue Board - Zanzibar

    hapana mimi sijapata hata sumni ni mtu wangu wa karibu ndio kapata mgao yeye imemuuma baada ya kuona hata manager wa hiyo hotel nae anamgao, hapa kwetu zrb hakufai kunanuka kabisa yani kushwa nje nje tena bila kificho
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya kutisha Zanzibar Revenue Board - Zanzibar

    Ni jambo la kusikitisha sana, mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi mwaka 2013, wafanyakazi wenzangu wamepokea kushwa ya dola za kimarekani LAKI MOJA NA ELFU KUMI (110,000) kutoka hoteli ya kitalii ijulikanayo kwa jila la KIWENGWA STRAND HOTEL LTD maarufu Bravo holet au sea club huko zaman, ili...
Back
Top Bottom