Recent content by zincobinyo

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers

    Utakua umenisaidia sana mkuu na 10% itakuepo,hizi mb unazotumia zitarudi. Naomba tuwasiliane.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers

    ok ahsante, singida pia hua nafata mzigo,demand ni kubwa hata ukiweza kupata kuku wa kienyeji mia tano nina uwezo wa kuchukua,bei yangu ni 12000 kama nawafata na 13000 kama utanileta. Kama ni mdau wa hizi biashara utanielewa. Lengo la kutaka connection zaidi ni kutokana na demand kua kubwa,hadi...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers

    Habari wakuu, Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers (waliomaliza kutaga au waliokomaa vizuri). Hivyo naomba mwenye nao tuwasiliane au yoyote anaejua wapi wanapatikana pia tuwasiliane. Niko Dodoma mjini. Tuwasiliane 0759724391.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi kwa siku elfu 25000

    Unajua sio kila tangazo unalopost linamuhusu mwenye account , wengine hawana account jf, Ila wanaomba wapostiwe matangazo yao ili yawafikie wengi, kama inavyofanyika instagram, so ukikazana kusema sio Kweli Labda Wewe Ndio Unajua ukweli halisi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi kwa siku elfu 25000

    Kaka nimepata brevis, sikua nataka gari ya biashara. Ila nilitoa tu pendekezo nisipate gari yenye cc kubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi kwa siku elfu 25000

    Jaman wadau sijakimbia Ila Nilikua na kazi zingine, sikukimbia . UPDATE asante kwa ushirikiano wenu Nimeshapata gari Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi kwa siku elfu 25000

    Sawa nakucheki inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi kwa siku elfu 25000

    [emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi kwa siku elfu 25000

    Sina safari za nje ya mkoa lakini ikitokea nitarudi mezani na mwenye gari. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi kwa siku elfu 25000

    Sawa mkuu ni pm namba yako Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi kwa siku elfu 25000

    Hapahapa dar mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi kwa siku elfu 25000

    Raha ya huku ndio hii kila mtu anajua kuusemea moyo wa mtu au mwenzake. Nimeshasema sio biashara Na kama gari ikiwa na car track itaonyesha ruti zote, nina kazi zangu binafsi mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi kwa siku elfu 25000

    Self driving mkuu, Ila niko tayari kwa mkataba wa kisheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi kwa siku elfu 25000

    Habari wadau, Nahitaji gari ya kukodi kwa siku elfu 25 yenye cc ndogo 1500 kushuka chini, kwa matumizi binafsi sio biashara, kwa mwezi mmoja, kama mabadiriko ya kikazi yakitokea nitaongeza mkataba. Napatikana Dar. Mawasiliano 0683069444. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji wanauzwa Tshs 14000

    Habari wadau, Ninauza kuku wakubwa wa kienyeji. Kila mmoja ni 14000. Nipo Dar, Bunju ila mzigo unaletewa ulipo kuanzia watatu, ama ukipenda uje uchague bandani. Namba zangu: 0683069444 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom