Recent content by zesky

  1. zesky

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Basi yalinikuta mwenzio nkaishia kuondoka na aibu tupu.
  2. zesky

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sina hamu na hivi vitoto nlichekwa mtaa flani hivi na gari langu la mkopo nikaona tutoto tuwili twa moto sana turembo hatari, nkashusha kioo na kuvisalimia nikajibiwa "hata kwetu tuna magari we vipi!" Wauza matunda waliokua karibu walinicheka sana, tangu siku iyo vitoto sitaki navyo mazoea...
  3. zesky

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Na alikua mtamu balaa mkuu
  4. zesky

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sio rahisi kumuona tu kwa mbinde
  5. zesky

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nilikua nimehamishwa kikazi kanda ya ziwa, nlikaa kama miezi miwili na nusu hivi. Nlikua najilia sana pisi za Congo, Zambia na za kisukuma. Yani mteremko bila gharama ndefu na pisi zimesimama kweli (sikuuza mechi). Siku moja nikiwa kwenye mishe zangu Town nilapishana na mtoto mmoja mkali mno...
  6. zesky

    Nimekoma, yule mwanamke ni chuma ulete

    noma sana nimekubali
Back
Top Bottom