Recent content by Zero Bank

  1. Zero Bank

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    kwangu bado sijafanikiwa kwenye fetch results, please help
  2. Zero Bank

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Kweli kabisa sehemu ya fetch inazingua ata kwenye submit of other qualifications ni hivyo hivyo. Ukibahatika inakuwa ni kama zali, simu zao pia azipokelewi.
  3. Zero Bank

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    zali tu maana natumia computer lakini sijafanikiwa
  4. Zero Bank

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    ni kweli kabisa ata mimi nimekesha bila mafanikio tena kwa kutumia laptop computer
  5. Zero Bank

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Bonyeza kwenye alama ya picha yako juu kulia utaona my dashboard, bonyeza hapo kisha utaona profile yako upande wa kushoto baada ya kufunguka
  6. Zero Bank

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Ni kweli kabisa error ujitokeza, nipo online apa muda huu but unsuccessful.
Back
Top Bottom