wadau kunakitu tunatakiwa tukifikirie kwa kina,
unajua nini?
kuna vyuo vingi sana vya private kuliko hata vya serikali! na kawaida vyuo vya private vinakuw na kapasity kubwa kuliko vyuo vya government, na kwa kiasi kikubwa watu wanaomba vyuo vya serikali kuliko vya private coz ada ni ndogo! kwa...
ila kwa wale waliokuwa wamesha kwisha kuchaguliwa kwenda ualimu UDOM mi nawashauri wa changamkie tenda, maisha ni popote pale,
our life is undefined you can win and vice-versa! in regarding no any close professional!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.