Recent content by zenol

  1. zenol

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ubarikiwe sana umeongea kwa Hisia Sana Mkuu, na Mungu azidi kuonekana kwako...ameen
  2. zenol

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    T TunaSubiri Mkuu, ungeendelea nao tu, hata ule uzi wa SIRAHA 5 za Kiroho ulipata upinzani ila ulienda hewani na umetujenga watu wengi sana...🙏🏽
  3. zenol

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ahsante Mtumishi, Tunapokea Maarifa kwa Jina La Yesu
  4. zenol

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ubarikiwe sana aisee, na ikawe kama hitaji la Moyo wako Mwana Wa Mungu..[emoji1319]
  5. zenol

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Amina Mtumishi wa Mungu, tuombe mpaka tusikie harufu za damu aisee wakae kwa kutulia maana Umenipa njia za kuwaangamiza huku tukijua wanaangamia[emoji1431]
  6. zenol

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ahsante, Kwa Kunipa Mwanga na Mungu akubariki Sana, Maarifa haya yanatusaidia Watoto wa Mungu tusiangamizwe Kizembe..Ameen [emoji1431]
  7. zenol

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Amina, point taken..nilikuwa najiuliza what if Muhusika Katumia Sura ya Mtu mwingine, Lakini nimepata jibu..Mambo ya Rohoni tutadeal nayo kiroho, na ya Kimwili vivyo hivyo tuta deal nayo Kimwili..[emoji1431] ahsante Wakae kwa Kutulia sasa, Kazi imeanza 🥲
  8. zenol

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Message Sent and Delivered Successful [emoji1431], Kazi Kwetu Sasa
Back
Top Bottom