Wakuu kidogo nimefarijika kuona tena jina la Shunie 🌹
Ila kinachoniumiza kwanini hataki kujua Mimi ni nani kwamba amesahau ata conversation zetu Kule inbox za enzi hizo tunapendana😭
Kingine kwanini hajaonesha ata kushituka na kuishia ku like tu meseji zangu na kucheka Sana😭
Then kwanini...
Hii niliotoa kwa niaba ya cousin angu mmoja alikuwa teacher songe sec huko Musoma but ni Kitambo Leo ana mke na watoto ni mkufunzi Sasa Butimba mwanza loo kipindi Hiko alinitumia kupost vitu vingi Sana kuhusu kada ya uwalimu maana ndiyo alikuwa ameripot kazini Songe High school Musoma ni girls...
Sikuwahi kula ban .Namtafuta Shunie wa ubani nimeshindwa kumsahau Mara ya mwisho kuwasiliana nae humu JF ilikuwa 2016 mwishoni Kama sikosei japo Sina kumbukizi vizuri but she is my favorite girl since 2015s up to day🌹🌹🌹
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.