Moja ya symbol za utambuzi.
Ni ukihisi kuna mtu wa tasnia yako unaanza kwa kusuport mada
.Mada: kuna watu wasenge humu mnaleta upumbafu wenu hapa hapa watu tumekuja kutafuta hela sio kutuletea upumbavu mnajua msituludishe jela watu tumesha ua sana.
Wajinga wanaanza kweli boyadogo wanatuchukulia...
Kununua vitu. Kama ni kipato cha chini itategemea.
Kuwa smart pia sababu unaweza ukahitaji kumjua bosi wako so lazma uwe smart kwa watu wa kipato.
Kumsoma mtu sio lazma uwe makini sana maana unaweza ukawa unamsoma muhusika wa tasnia wapo critical muda wote kutafuta watu walio critical wanaweza...
Hapana kk yaan kujaribu ni kutenda sio kujaribu unaona hapo kuna tafauti sababu kujaribu kwenda kuoga then unafika unavua nguo unajimwagia maji ila hutakati na sehemu nyingine zinakuwa hazija fika maji. Hapo umejaribu lkn hukufikia lengo.
Oooh. Good boy
Sasa anza hivi
Jifunze vitu vyote mpaka wewe mwenyewe ujijuwe yaan ufaham mpaka mgongoni kwako kuna nn kamaa ni doa au kovu mpaka vile vi ng'ombe cc wasukuma tunaita hvyo ujue kama vipo
Then wajue watu wako then anza sasa usoma na kuandika
1.Intelligence kwako Fanya hivi
(A)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.