Umeongea vyema..... Ila huenda Putin ameona njia hii itakua na impact kubwa zaidi kama tuonavyo sasa.. Urusi ikivuka salama kwenyehili kunamabadiliko makubwa sana yatatokea katika nyanja zote.
chukulia mfano wa nyoka na wadudu (NaTo), na nyumba iliopo remote area (Urus). mwenye nyumba inamlazimu kufyeka vichaka ili nyoka na wadudu wengine wasiweze kukaribia na kuingia nyumban wanaweza sababisha nyumba isikalike. ila haiondoi uhalisia ya kua nyoka anamuogopa mwenyenyumba
Naona umeamua kujitekenya na kucheka.. Wananchi wa mataifa ya ulaya wameanza kulalama juu ya bei za mafuta na Ges. Wakat huohuo wameambiwa walipe kwa rubles wanalalama yakua urus ana breach contract... Kama wanajimudu si waache kabisa kununua mafuta na ges toka kwa Putin
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.