Recent content by zedlyn

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game iko interrupted sijui tatizo nini
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wamewaacha wakubwa wacheze mpira wenyewe wanatumia nafasi wanayopata vizuri
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dortmund ni kama hawaamini kinachotokea
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anachofanywa Dortmund leo hatari, kajaa kwenye mfumo madogo wanapambana wasishuke daraja
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Imagine niliomba goli moja tu kwa leverkusen
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kile kitim cha van persie wiki iliyopita kalishinda kakanichania leo nimekaomba goli moja kamenichania tena Na amecheza na timu ya mwisho kwenye ligi
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Imetoa
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Villa wamashambulia sana dakika za mwanzo naona walikua wanatafuta goli la mapema wawakate wenge kwanza city
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yanga washakupa goli mbili tayari
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu nini tofauti ya no red card na no sending off
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuuliza pia ni kosa mkuu
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yani leo hii city wa kupewa odd zote hizo na hapo anaweza asipate hata goli moja sijui nini kimetokea au kocha kaishiwa mbinu,
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimekuelewa mkuu niliona jamaa ametiki mechi ya Chelsea na option ilikua no red card ndo nikapata mashaka, shukrani sana
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    So kama uliweka no red card mkeka unatiki ama, second yellow card kwenye bet haihesabiki kama red?
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game ya Chelsea naona kuna red card au sio direct red card, naomba kueleweshwa hapo
Back
Top Bottom