Recent content by zawadiwa

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Mke mwenye sifa hizi ananifaa

    s si kila anaekuja hapa ni akili za guajima ahsante kwa mawazo yako finyu
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mke mwenye sifa hizi ananifaa

    ameen
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mke mwenye sifa hizi ananifaa

    hapana mkuu unanionea si kila mtu kapita huko kwanza wengine huenda tulikuwa tunahangaika na maisha kwanza
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Mke mwenye sifa hizi ananifaa

    hapana mkuu tunatofautiana itikadi
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mke mwenye sifa hizi ananifaa

    Natafuta mke mwenye sifa hizi: 1.Dini mkiristo/mlokole kipaumbele 2.elimu kwanzia form 4 3.umri miaka 20 hadi 25 mwisho 4.urefu 6ft au 5.5ft 5.rangi siokipaumbele 6. mwili wa wastani 7.kazi sio kigezo 8.Kabila sio kigezo 9.Usiwe na mtoto Mimi mwenyewe: Mkristo/mlokole Elimu shahada ya uzamili...
Back
Top Bottom