Recent content by Zawadini

 1. Zawadini

  Division 3 au 4 za Zanzibar zina dili kuliko division one kali za bara

  Ni lini hiyo 21% imetumika? Wacha kuvisha watu kilemba cha ukoka
 2. Zawadini

  Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

  Waliouawa ni wengi. Hata Othman Sharif aliyekuwa Makamu wa Rais wa ASP aliuawa. Wako na wengine wengi na hakuna maelezo hadi leo.
 3. Zawadini

  Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

  Nilishawahi kulisemea hili: Tanzania na mfumo wa unadhimu wa vyama bungeni
 4. Zawadini

  Karibuni wachambuzi tuchambue kisa hiki

  Ila ukweli ni kwamba baba keshakufa. Cha kusikitisha ni zile figisu za kutaka kumnyima mama urithi halali ila walinzi wa baba wakashtukia. Mungu si Asumani.
 5. Zawadini

  Kamara Kusupa: Rais amepata wa kuendana naye. Je, ataacha kulalama?

  Nadhani mama amekusikia. Wewe subiri; leo ni Jumapili.
 6. Zawadini

  Kamara Kusupa: Rais amepata wa kuendana naye. Je, ataacha kulalama?

  Umeandik vyema ila Rais huteua watu anaoamini watamsaidia. Ridhiwani ni mmoja wao. Kikatiba utendaji wa Serikali uko kwa Rais na anaweza kukasimu madaraka kwa Waziri au watendaji wengine. Muda ndo utatuambia ama Ridhiwani anafaa au hafai.
 7. Zawadini

  Nasikitika Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu kashindwa kuleta umoja wa kitaifa

  Atauleta mkuu. Ngoja kwanza aweke mambo sawa ili kila mmoja ajue nafasi yake vizuri na aitumikie ipasavyo
 8. Zawadini

  Yuko wapi Job Ndungai kuisawazisha hii sintofahamu?

  Kama ilivyokuwa kwa Job. Mwiba uchomeapo ndipo utokeapo. Haiwezekani kupanda mpunga ukavuna mahindi. Hata sisi tunapaswa kutafakari haya. Imekuwa kama hadithi hivi!!
 9. Zawadini

  Kamati Kuu ya CCM(CC) ikutane kujadili swala la Ndugai

  Naona kama umeandika kwa haraka. Kama kuna taasisi ya kukutana ni bunge au katibu wa bunge atoe kauli na sio CCM. Kama ulivyosema kwamba Ndugai alichaguliwa na bunge hivyo ni bunge litoe kauli au angalau katibu wa bunge.
 10. Zawadini

  Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

  Ila wakati mwingine uongo unafanana na kweli. Tutarajie lolote kutokea kuanzia Jumatatu Mungu akipenda.
 11. Zawadini

  #COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

  Ndio uchawi wenyewe huo. Unatokana na roho mbaya eti kuidhibiti Zanzibar, kwa maneno ya Lukuvi na wenziwe kule kanisani. Afu mimi nilidhani kule sio mahala pa siasa; au ndo dini yenyewe?. Ila Zanzibar itaendelea kwa uwezo wa Mungu.
 12. Zawadini

  Bunge linalokuja mwezi Februari lijadili kwa hati ya dharura Mkopo wa tril 1.3. kwa maslahi ya Taifa. Namna ulivyopatikana na matumizi yake

  Bunge likajijadili? Huo umepitishwa na kuridhiwa na bunge. Wakati huo Ndugai alikuwa hospitali?
 13. Zawadini

  #COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

  Mkuu wala usipate taabu. Kama una ubavu badilisha Katiba. Kwa mujibu wa katiba ili Zanzibar ikope lazima idhini ya JMT itolewe, na hiyo ndio moja ya kero za muungano; yaani Zanzibar isubiri ihsani ya JMT katika kujiletea maendeleo. Huo si ndio uchawi wenyewe? Na bado kuna watu wanalalamika...
Top Bottom