Recent content by Zawadi Ngoda

  1. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ikiwa rais Samia na watuhumiwa wenzake huko ICC watakamatwa, Nani atashikilia kiti cha urais?

    Hakushikwa Kenyata, japo alikwenda huko walikomuita ICC, Eti aje akamatwe Samia. Acheni ndoto za mchana. Mtaoumia ni nyie wananchi, kwa maana akisaini mkataba mmoja tu wa Gesi ya Mtwara, hapo hakuna cha ICC wala uchafu mwingine. ICC ipo pale kwa ajili ya kuwashibisha/maslahi ya wazungu, sio...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN: Hivi ndivyo tulithibitisha ushahidi wa mauaji Tanzania. Kwa Tekinolojia ya sasa, kuvuruga ushahidi ni kazi bure

    Trump mwenyewe kaitambua CNN kama moja ya mashirika yanayoeleza FAKE NEWS. Mimi M-TZ NITAIAMINIJE? Za kusikia changanya na za kwako.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

    Na hapo ndio tofauti kati ya werevu na wajinga. Na kama ............
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

    ......................changanya na za kwako. Kabla ya kupeleka mguu huko tafuta za kwako kwanza.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

    Za kuambiwa changanya na zakwako. TikTok peke yake haitakuvusha.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Profesa Lumumba: Samia atapata shida kutoka nje ya nchi. Kwenye nchi yoyote watu wakishauawa mambo hayawezi kurudi kama mwanzo

    Hakupata tabu Mkapa, U. Kenyata na Abbe. A (Ethiopia). Bado hamjawafahamu marekani na washiri wao.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Nkwande: Usiue wala usichekelee mauaji, waandamanaji walikuwa wakipaza sauti zao

    Uchaguzi na utekaji umezaliwa mwaka huu tu, du hatari. Katiba ile ile iliyotumika mwa 2020 sijui ndio inatumika leo au ni nyingine. Mwaka 2020 hawa walikaa kimya.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Nkwande: Usiue wala usichekelee mauaji, waandamanaji walikuwa wakipaza sauti zao

    Hawa viongozi wanaonekana wazee, lakini wanajifanya kuwa wamezaliwa baada ya 2005. Mtakapotaka kwenda kustaafu, tutawakatalia. Wamezima DATA.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatujafanya mazungumzo na mtu yeyote ili tuachiwe huru

    Tatizo sio Samia bali ni mfumo. Yalikuwepo hayo wakati wa Mkapa, Kikwete na hata Magufuli. Sijui kwa nini vijana mnataka kuzima data zetu utafikiri mnayemlaumu ni Rais toka chama tofauti na watangulizi wake.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi tatizo ni mgombea au ni chama au ni mfumo?

    Kuna watu wanazima data zao na kukomalia kuwa tatizo ni Rais Samia Suluhu Hassan. Na kukazia zaidi kuwa "Hatumtaki Samia" Mimi najiuliza Hivi uchaguzi ulikuwa wa haki wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli....... Je Samia ndio alikuwa anafix nyakati hizo zote. Amkeni na muelewe tatizo lilipo.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

    Hawa ndio wanaotegemewa kuwa watawala wapya. Mawazo duni ya duniani. Alamsik!
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Majeshi 10 bora Afrika, Tanzania haimo. Tunazidiwa hadi na Sudani

    Wewe ndio ulizungumzia kushinda vita, rejea hoja yako namba #18. Kifupi umenielewa, na nakushukuru kwa hilo. Kwa bahati nzuri umenisaidia hapa, sina nyongeza.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu hawezi kufanya tofauti, kwa vile tatizo ni watanzania wenyewe

    Naelewa kuwa kumgusa T. Lissu, utatupiwa mawe sana. Lakini kwa sababu suala lenyewe linahusu Taifa kwanza, nipo tayari kujibu mapigo. Ukweli ni kwamba kuandamana kwa ajili ya TL sipo tayari, na wala si taki mtu ashawishike kufanya hivyo kama walivyofanya 2020 alipowamba wananchi waandamane.
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu hawezi kufanya tofauti, kwa vile tatizo ni watanzania wenyewe

    Mmmmm! Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu ni next level. Kwangu ni hao hao tu kama akina M7. Kabla ya kuingia madarakani alinena kuwa tatizo la viongozi/marais wa Afrika ni kukaa sana madarakani. Ulipofika wakati wake akawa anabadili maneno tu, na sasa ni moja kati ya viongozi waliokaa sana...
Back
Top Bottom