Recent content by zarai

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba ushauri wadau kuhusu ipi Gari nzuri kati ya Toyota camy; ist; na Suzuki jimny.kazi kubwa kuendea kazini na napandisha mlima kidogo.IPI itanifaa
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Na chaguo la pili Raum IPI nzuri Suzuki jimny au raum
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Habar wapendwa nataka kununua Suzuki Jimny je ni nzuri?VIP spare zinapatikana?
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Lege sina utaalamu wa gari naomba Namba ya huyo Fundi aweze kunisaidia mana hata gari naogopa kutoka nayo.plzz
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nipo Dodoma.walifunga cylinder gasket sasa and kuanzia hapo gar kama wamechokozaa.taa hiyo inawaka.kuna mtu akasem eti wamekosea timing.sasa mim sielew mana napata hofu kutok nayo na kazini napandisha mlimaa.plz nisaidieni mana gar ilikua nzima kabisa haiwak taa hizo.Ila bada tu ya kufunga hicho...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hiee Nina raum new model nkiwasha gari taa ya engine ya njano inawaka n mda mwingine inazima.tatizo itakua nini
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba msaada Nina raum new model Ila taa ya engine inawaka njano nkiwasha gari halafu kuna mda inazima kuna mda inawaka sielewi nifanyeje.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wakuu plz mshana pm me
Back
Top Bottom