Habari mkuu,
Moja kati ya faida ya kufanya group trip ni ku share cost na wengine na ndio maana bei iko chini.
Kutakuwa na Limited Seats, ambazo ni 21 seats only, tukikamilisha idadi hio tutasimamisha kupokea booking.
tutatumia usafiri wa Bus moja (ikiwa wamefika watu 21), lakini tukifika...