Recent content by Zakheim

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Vijijini, okoa idara ya elimu

    Nani asiyejua kwamba Geita mlikuwa mnaiba mitihani? Hata Dr. Charles Msonde alishawajua ndiyo maana mwaka jana intelijensia kwa mkoa wa Geita ilikuwa ya hali ya juu sana na matokeo yake tumeyaona. Kama huyo DEO hatakiwi huko si aletwe kwetu Dar? Huku hakuna "deals" za kuiba mitihani Sent using...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Vijijini, okoa idara ya elimu

    Wewe naye huna maana. Geita na Magu vinahusianaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Z

    JamiiForums Tanzania DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Umenena haki, huyo Nyagabona asubiri tu kuondolewa ofisini kwa maelekezo ya kutoka juu maana aliteuliwa na REO Batholomeo Mujaya. Hana barua ya Wizara ya Elimu wala TAMISEMI. Lakini pia, Nyagabona hakuwahi kuwa na masomo ya taaluma. Alisoma ADEM Bagamoyo enzi zile wakiwa hawana teaching...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Hata kuandika huwezi mzee? Siyo Lihana, anaitwa Liana. Alafu unaandika kama mwehi fulani hivi
Back
Top Bottom