Recent content by Zakaria_kz

  1. Z

    Natafuta dereva mzoefu

    Ndomaan nikasema ukipata mtu mzoefu na izo Noah ndugu hiyo ni ngumu ata kwangu lakini wapo watu wanauzoefu na nikakutolea mfano hapo airport kuna watu nawafahamu wanafanya kazi na izo gari na kwamadai yao wanaingiza iyo pesa japokua sio kila siku ila Mimi natafuta ninayoiweza ambayo nnauzoefu...
  2. Z

    Gari aina ya Noah inahitajika

    Cc yohane yaledi mtafute huyo
  3. Z

    Natafuta dereva mzoefu

    Uber xl inafanya uwa zinakazi sana Noah kama utapata dereva mzoefu wa biashara za magari nenda airport pale kuna jamaa wanafunga siku na mpaka laki tatu
  4. Z

    Natafuta kazi ya udereva

    Zile ni ngumu wanazitoa kwa hesabu kubwa sababu ya interest na service ufanye dereva mwenyewe so tafuta pesa ya lejesho tafuta pesa ya mafuta tafuta pesa ya service ya gari iwe ni service kubwa au ndogo tafuta pesa ya kula alafu na pesa ya traffic na ukizingatia ugumu wa hii biashara kwa sasa...
  5. Z

    Natafuta IST au VITz ya kukodi kwa ajili ya uber

    Kaka mi mwenyewe ni dereva najua kinachoendelea na sijajinasibu kwamba nitafanyia services gari huyo ni mtoa post ndo anataka kufanyia gari service mi natafuta gari ya hesaba 25 elfu kwa siku na nnaiweza ila services anafanya boss
  6. Z

    Natafuta IST au VITz ya kukodi kwa ajili ya uber

    Kama Kama bado anatafuta dereva naomba niunganishe na ila kiukweli hesabu ya Uber ni 175000 kwa wiki kaka ninauzoefu mwaka mmoja
Back
Top Bottom