Recent content by zahra abdallah

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Thanx
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    andaa hiyo pesa kabisa na utafute style nzuri yakuthibitisha lakini sio unifunue wewe sawa?
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    nakuonyesha kwa style ipi labda.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Kwahiyo kama mwanamke wako muathirika Kwahiyo kama mwanamke wako ni muathirika kwahiyo bikra wote ni waathiririka?
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Huo ni ufinyu wa akili ukimkuta mtu bikra basi nenda kampime alafu ndo uoe.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Ndo nishakuwa jinyonge basi
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Wewe kaka aliyekwambia msichana akiwa bikra ni mbaya ni nani?acha uboya wewe kuwa bikra nikujiheshimu tu mwenyewe naamini kama ukifanikiwa kuniona lazima ujiulize nimewezaje kukwepa vishawishi vyote vya wanaume, kuwa bikra haimaanishi hujawahi kuingia mahusiano na ngono sio mapenzi bali nikitu...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Ukiona umeoa bikra alafu akaanza kuchepuka kwenye ndoa jua huyo ni limbukeni kama umeweza kujitunza miaka yote hiyo unashindwa nini kutulia kwenye ndoa.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Hahaha unataka kuoa bikra? Karibu san.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Id?U mean pict right?
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Anyway karibu sana kaka angu, jina langu halisi naitwa lisa carvin nimkazi wa dar salaam.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Si unataka niwe rafik ako au? Au niombe urafiki fb nitaku accept.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Haina mbaya nifate insta
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Kama unataka kuoa bikra tupo tumejaa endapo utakidhi vigezo.
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Ili iweje kaka?
Back
Top Bottom