SARUNGI ANAVYOYASHINIKIZA MATAIFA MAKUBWA YAIPIGE TANZANIA
Maria Sarungi Tsehai amejisifu kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba ameishitaki Tanzania kwenye Mahakama ya Kimataifa eti kwa tuhuma ya Uhalifu dhidi ya Ubinadamu (Crimes Against Humanity).
Kiufupi, huyu anataka Tanzania ivamiwe na...
Crimes against humanity like War crimes, murder, massacres, dehumanization, genocide, ethnic cleansing, deportations, unethical human experimentation, extrajudicial punishments including summary executions, use of weapons of mass destruction, state terrorism or state sponsoring of terrorism...
Crimes against humanity like War crimes, murder, massacres, dehumanization, genocide, ethnic cleansing, deportations, unethical human experimentation, extrajudicial punishments including summary executions, use of weapons of mass destruction, state terrorism or state sponsoring of terrorism...
UCHAGUZI WA MWAKA HUU UNA PANDE MBILI
1. Kuchagua Maendeleo ya Watu na Vitu Kama ilivyoelezwa kwenye ilani ya CCM, ama Kuchagua Unyonyaji wa raslimali zetu kupitia kwa wakala wa mabeberu kama inavyoelezwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA kuwa wataweka rehani madini na raslimali nyinginezo...
Lissu amejibu (VOA) anafanya kampeni bila kuzingatia tahadhari za CORONA kwa sababu sio tatizo Tanzania. Amekiri kuwa walikosea kumpinga JPM. Kenya imewagharimu mikopo ya zaidi ya dola 2.4bn, biashara nyingi kufa! Uongozi ni maono jamani!Sio kuiga tu !Tumebahatika JPM ana maono!
RAISI MAGUFULI AMALIZA HOJA ZA WAPINZANI
Na Mackdeo Shilinde
Ndugu Wana jukwaa la siasa wenzangu nawasalimu katika jina la Bwana wetu Yesu kristo wa Nazareth na mtume Muhammad (SAW)
Wana jukwaa wenzangu kwa Sasa ukiangalia hali ya kampeni zinazoendelea,wazi kabisa utaona kuishiwa kwa hoja kwa...
Kitila aomba soko, Magufuli ampa hapohapo.
Rais John Magufuli amewapa wafanyabiashara wa Soko la Ndizi Mabibo umiliki wa soko baada ya kuombwa na mgombea ubunge wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, leo.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Barafu, Mburahati, Rais...
Ndugu Wana jukwaa wenzangu nawasalimu.
MAKULUMLA ndio hilikiwa ngome ya chadema kwa Jimbo la Ubungo lakini Toka kitila apate ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama Cha mapinduzi, wakazi hao wamekuwa na kiu kubwa ya kutaka kuonana na kitila na kumueleza hisia zao za moyoni.
Baada ya kitila...
WAKAZI WA KOTA ZA UBUNGO WAMSUBIRI Boniface Jacob KWA MAWE NA MARUNGU
Na Mackdeo Shilinde
Ndugu zangu wa Ubungo nawasalimu katika jina la Bwana.
Binafsi mimi ni miongoni ya vijana ambao tunafatilia Sana hali ya kisiasa na kampeni zinazo endelea jimboni. Kuna baadhi ya Mambo nimekutana nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.