Recent content by yuster76

  1. yuster76

    SoC03 Malezi bora kwa watoto

    Vema sana best ake Lau Ila Mimi naona ukae uisome chapisho lako Kuna marekebisho madogo mfano neno la kwanza mada taja apo juu badala ya mada tajwa pia neno jinsi unasema njisi soma vzur Kuna option ya kuedit ufanye hivyo All in all ujumbe mzuri kwa wazazi
  2. yuster76

    SoC03 Ulinzi wa Bima kwa mtu wa tatu

    Mimi naona kampuni zenyew za bima ziungane na mamlaka TIRA kutoka elimu juu ya hoo bima TPO maana watu wanakata hoo bima wanajua kuwa wanakata ili wasikamatwe na polisi tu barabarani , lakini kumbe hip bima Ina kazi yake ndo maana ni lazima na kazi yake kulinda Mali na usalama wa raia ...
Back
Top Bottom