Recent content by ypmmzandiki

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wana jamvi

    Mkuu ukikaa na daktari uso kwa uso ndo anaweza kujua shida yako maana maelezo yako hayajitoshelezi,labda nikuulize umri wako,tatizo sugu la afya ulilonalo,je hivi karibuni umeugua,tatizo la kukohoa damu limeanzaje?
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Mawakili na Waendesha Mashtaka msaada tafadhali

    Baada ya kesi ya hila ,Je ushahidi ambao kimsingi mteja hakupewa nafasi ajitetee inaweza kutumika kufungua kesi ya madai? Karibuni waheshimiwa!
Back
Top Bottom